BASI LAGONGANA NA TRENI KIGOMA
Ajali mbaya sana inayohusisha basi la abiria na treni ya mizigo imetokea eneo la Gungu mkoani Kigoma ambapo watu kadhaa wamefariki nawengine kujeruhiwa.
CHANZO CHA AJALI
Chanzo cha ajali hiyo kinasemekana ni kukosa umakini kwa dereva wa gari hilo ambaye naye pia amefariki ambapo
alikatiza katika eneo la makutano ya barabara na reli bila kuchukua tahadhari licha ya kupigiwa honi na mwongozaji wa treni hiyo ili aweze kuvuka kwa haraka jambo lililopelekea gari hilo kugongwa na kuburuzwa kwa umbali upatao mita 100

Post a Comment