NGONO KATIKA UMRI MDOGO, CHANZO KIKUU CHA SARATANI YA MLANGO WAKIZAZI
Nidhahiri kwamba mifumo yetu ya maisha hivisasa imekuwa na
mambo mengi sana yanayo pelekea watoto wadogo kujiingiza na kujihudisha na swala la ngono.
mambo mengi sana yanayo pelekea watoto wadogo kujiingiza na kujihudisha na swala la ngono.
Jambo hili limekuwa likiharibu maisha yao kwa kuwakatishia masomo kupata magonjwa ya zinaa na kadhalika.
Wapo ambao walijiingiza na kisha kujinasua na wapo waliobahataka tu kuwa salama mpaka ukubwani licha ya kujiingiza na kujikita katika vitendo hivyo viouvu.
Ripoti iliyotolewa na shirika la utafiti duniani inasema kuwa kumekua na ongezeko kubwa la saratani ya kizazi kwani kiasi cha watu milioni 14 kila
mwakahuambukizwa saratani ya kizazi katika nchi zinazoendelea kiuchumi kama hapa nchini na milioni 8.2 hufariki baada ya kuambukizwa kwa sababu tofautitofauti.
Ambapo hapohapo shirika la afya duniani linasema kila maambukizo 75000 ya ugonjwa huo duniani basi 50000 ni nchi za Africa.
NINI TATIZO NA NINI HASWA CHANZO?
Kwa mujibu wa tafiti zakitabibu tatizo hili husababishwa na mabadiliko ya chembechembe za seli katika mlango wa kizazi ambayo mabadiliko hayo husababisha chembechembe hizo kuongezeka maradufu katika mlango wa kizazi kinyume kabisa na hali ya kawaida.
muathirika kutokwa na maji yenye harufu mbaya, kutokwa na damu zisuzo za hedhi, kupungua uzito kwa kasi na mengineyo ambapo huweza kupelekea mauti.
Nahili linachangiwa na mmomonyoko wa maadili na hali mbovu ya kiuchumi na kutofahamu au kukosa uelewa juu ya jambo hilo.
Nadhani ndio maana hata serikali imeamua kulivalia njuga swala hili kwa kutoa chanjo na elimu kwa mabinti we nye umri kuanzia miaka tisa hadi kumi na tatu kote nchini.
Post a Comment