[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
BAAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA MAHASIMU WAO BENZEMAR KUTINGA ZOEZI PEKE YAKE

Mshambuliaji Karim Benzema jana Jumapili alitokea pekee kati ya
wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Madrid kufanya mazoezi baada ya kocha
Rafael Benitez kuwapa ofa ya mapumziko wachezaji wa kikosi cha kwanza
siku ya Jumapili kutokana na kipigo cha goli 4-0 kutokana kwa mahasimu
wao Barcelona.
Karim Benzema aliamua pamoja na kupewa ofa ya kupumzika, kutokea
mazoezini huku akifanya mazoezi na kikosi cha pili sanjari na baadhi ya
wachezaji wakubwa kama Arbeloa.

Real Madrid ilipokea kipigo hicho kikubwa kutoka kwa Barcelona cha
mabao 4-0 magoli yakifungwa na Luis Suarez (2), Neymar pamoja na
Iniesta.

Mechi hii ilikua ni ya kwanza ya El Classico kwa kocha Rafael Benitez
huku akitakiwa kucheza michuano ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Shaktar
Donestic Jumanne hii huku wachezaji wakianza mazoezi Jumatatu hii.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, November 23, 2015
Post a Comment