Loading...
Advertisement

TAKWIMU YA MH.MAGUFULI KUWAUMBUA VIGOGO

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement

Image result for airbusKwa Mujibu Wa ' The Africa Report', Bilioni 183 Za Tiketi Za Wateule Zingenunua Airbus Moja Kama Hiyo Pichani..Na Chenji Ingebaki...!

Kwa takwimu alizotoa Mh. Rais Magufuli, kuwa shilingi bilioni 183 zimetumika kununulia tiketi za kusafiri nje, ina tafsiri ifuatayo kwa mujibu wa jarida la ' Africa Report' toleo nr 74 la mwezi Oktoba na ambalo nimelisoma. Lina taarifa, kwenye ukurasa wa 56, kuwa Serikali ya Rais Kabila imenunua kutoka shirika la ndege lililofilisika la Alitalia, nchini Italia, moja ya ndege zake aina ya Airbus A320 kwa gharama ya dola za Marekani milioni 50. Fedha ambazo wateule wetu wametumia kwa tiketi za safari za nje ni bilioni 183, sawa na dola za Marekani takribani milioni 84..!

Naam, nimepata kuandika, kuwa Tanzania ina vyote bwanaa!!


PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top