[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement

NI Juliana Kanyomozi wa Uganda na msanii mwenzie Mr Flavour wa Nigeria kunanii au ndio drama kama za kibongo
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Uganda,
Juliana Kanyomozi, ameonekana kunasa kwenye penzi la msanii wa Nigeria,
Chinedu Okoli ‘Mr Flavour’, baada ya kukutana nchini Kenya katika
maonyesho ya Coke Studio.
Wasanii hao wamekutana nchini humo
kwa ajili ya muziki uliokutanisha wasanii mbalimbali kutoka Afrika,
ambapo wanafanya muziki kwa kushirikiana, lakini ukaribu wa Mr Flavour
na Juliana umewafanya mashabiki wao kudhani kuna lingine zaidi ya muziki
baina yao.
Mitandao mbalimbali nchini humo
inaeleza kwamba wawili hao baada ya kufanya kazi pamoja, Juliana
alionekana akitumia muda mwingi akiwa karibu na msanii huyo na
walionekana kuwa na ukaribu uliokuwa na uhuru wa kupitiliza.
Kupitia akaunti ya Instagram, Juliana
aliweka ujumbe wa kumtakia Mr Flavour heri ya siku yake ya kuzaliwa
ambapo aliandika: “Hongera kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa,
umekuwa msanii ambaye unanifanya nijisikie nipo juu kutokana na jinsi
unavyonishauri, ninaamini tutaendelea kuwa pamoja, nakupenda sana.”
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, November 30, 2015
Post a Comment