[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
KISA CHASEMEKANA KUWA DINI ANAYOABUDU MSHIRIKI HUYO
Bi Anastasia akizungumza na vyombo vya habari
Mgombea wa mashindano ya malkia wa dunia kutoka Canada amesema kuwa alizuiwa kupanda ndege ya kuelekea Uchina kutoka Hong Kong.
Anastasia
Lin mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni mzaliwa wa Uchina amesema kuwa
hakupata mwaliko kuhudhuria hafla hiyo hatua ambayo ilimzuia kutuma ombi
la kupata viza.
Lakini alijaribu kusafiri kuelekea Sanya kupitia Hong Kong,kwa kuwa watalii kutoka Canada hupewa Viza wanapowasili.
Bi Lin amelaumu tukio hilo kwa kampeni zake za kibinaadamu. Bi Lin Anastasia
Amekuwa akikosoa 'ukandamizaji na ukaguzi' nchini
Uchina na ni mwanachama wa kundi moja la kidini ambalo Uchina
inalichukulia kama dhehebu na imelipiga marufuku.
Mashindano hayo ya malkia wa dunia yanatarajiwa kufanyika katika hoteli ya kitalii ya Sanya mnamo terehe 19 mwezi Disemba.
Wakati
alipotoa malalimishi yake kwamba hakupewa mwaliko,Ynayojiri ilijaribu
kuwasiliana na mamlaka ya mashindano hayo lakini haikupata jibu lolote.
Lin Anastasia wa Canada
Magazeti ya Canada The Globe na Mail yaliinukuu
taarifa kutoka kwa ubalozi wa Ottawa kwamba Uchina hairuhusu mtu ambaye
amepigwa marufuku kungia nchini humo,kufuatia malalamishi ya Bi Lin. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment