[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Facebook yashtakiwa Ubelgiji Kisa nini.... fuatilia
Uamuzi unaotaka
mtandao wa facebook kufanya mabadiliko muhimu katika mazingira yake ya
faragha nchini Ubelgiji umecheleweshwa huku nakala za mahakama
zikitafsiriwa kiingereza ,BPC imebaini.
Kesi hiyo iliowasilishwa
na tume ya faragha nchini Ubelgiji BPC inautaka mtandao huo
kutowafuatilia watu wasiotumia mtandao huo haraka iwezekanavyo la sivyo
ipigwe faini.
Uamuzi huo ulitolewa mnamo mwezi Novemba huku mtandao wa facebook ukipewa saa 48 kuafikia masharti ya uamuzi huo.
Hatahivyo facebook imesema kuwa inajadiliana na tume hiyo ya kukabiliana na maswala ya faragha nchini Ubelgiji BPC.
''Tulikutana
na BPC na kuwapatia suluhu kuhusu baadhi ya maswala yanayowatia
wasiwasi kuhusu mazingira yetu ya faragha.Tunatumia data hizi ili kuweza
kuzuia jaribio la kuzichukua zaidi ya akaunti 33,000 nchini Ubelgiji
katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita,na data kama hizo hutumiwa na
wahudumu wengine wa mitandao.Tunatumai kwamba tutasuluhisha tatizo hili
bila kuhatarisha uhuru na usalama wa watu wanaotumia facebook'',alisema
Alex Stamos,ambaye ni fisa mkuu wa usalama katika mtandao huo.
Msemaji
wa BPC ameiambia BBC kwamba uamuzi huo ulifaa kuwasilishwa rasmi kwa
facebook kwa kuwa unangojea kutafsiriwa kiingereza katika kurasa 33.
Kesi hiyo inahusu data inayotumia na facebook kuwafutilia kwa miaka 5 wasiotumia mtandao huo.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Wednesday, November 25, 2015
Post a Comment