[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Maandamano viongozi 145 kutua Paris (COP 21)
Takriban viongozi
150 kutoka kote ulimwenguni wanatarajiwa kuwasili nchini Ufaransa leo
tayari kwa mkutano wa dunia wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga
duniani.
Mkutano huu wa kimataifa unaotarajiwa kuweka sera za
kulinda mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga kwa ufupi
COP21 utaanza hapo kesho.
Ufunguo wa mkutano wa COP21
Madhumuni ya mkutano huu ni kutafuta uwiano wa sera
zitakazosaidia ulimwengu kupunguza ongezeko la hewa chafu ya carbon
inayolaumiwa kwa ongezeko la joto duniani.
Wadadisi wanasema kuwa
matuko ya kigaidi mjini Paris Ufaransa yaliyosababisha vifo vya watu 130
majuma mawili yaliyopita huenda yakatoa muamko mpya kwa wajumbe hao
40,000 kuafikiana kuhusu njia mpya ya kukabiliana dhidi ya majanga
yanayotokana na mazingira iwe ni mafuriko ama njaa na ukame.
Usalama umeimarishwa vilivyo katika maeneo mengi ya Paris
Viongozi wa mataifa 147 kutoka kote duniani wamethibitisha kushiriki mkutano huo huko Paris Ufaransa. Idadi hiyo ya viongozi inazidi 115 walihudhuria mkutano wa mwisho wa mazingira uliofanyika mjini Copenhagen mwaka wa 2009.
wakati huohuo, mamia ya maelfu ya watu wanatarajiwa kuhudhuria mikutano
ya hadhara sehemu mbalimbali duniani leo Jumapili wakiunga mkono juhudi
za pamoja za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga.
Kutakuwepo na zaidi ya mikutano 200,000 - ambapo mingine tayari imeanza. Waandamanaji nchini Ujerumani
Mikutano hii imeandaliwa kufanywa siku ya kuamkia
mkutano mkuu wa hali ya hewa wa umoja wa mataifa utakaofanywa Paris,
Ufaransa, unaotarajiwa kuhudhuriwa na wajumbe kutoka mataifa 180.
Mikutano katika miji ya Australia Bangladesh, Japan na South Africa imeshafanyika. Image copyrightReutersImage caption
Viongozi wa jumuiya ya Madola, wanaokutana nchini
Malta, wameunga mkono mkataba unaotarajiwa kuafikiwa Paris.
Waandamanaji hao wanashinikiza jamii za kimataifa
kuhakikisha kuwa joto la dunia linapunguka na kufikia kiwango lilipokuwa
kabla ya kuanza matumizi ya viwanda duniani.
Viongozi wa jumuiya ya Madola, wanaokutana nchini Malta, wameunga mkono mkataba unaotarajiwa kuafikiwa Paris.
Jumuiya
hiyo ya madola yenye wanachama 53 imetoa taarifa ikieleza masikitiko
yake juu ya kile inakitaja kama tishio kubwa kwa wanachama wake walio
dhaifu zaidi. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment