Majina 23 ya wanaoongoza kwa ufungaji mfululizo EPL, kabla ya Jamie Vardy kuvunja rekodi ya Van Nistelrooy Nov 28
Jamie Richard Vardy
Ruud van Nistelrooy ambaye aliondoka Man United mwaka 2006 na kujiunga na Real Madrid ya Hispania
aliweka rekodi ya ufungaji magoli 10 katika mechi 10 mfululizo, rekodi
ambayo imedumu kwa miaka 12 na usiku wa November 28 ndio mshambuliaji
raia wa Uingereza Jamie Richard Vardy aliivunja rekodi hiyo dakika ya 24 ya mchezo dhidi ya Man United.
Ruud van Nistelrooy
Naomba nikusogezee list ya majina 23 ya wanasoka ambao wanaongoza kwa ufungaji magoli mfululizo katika Ligi Kuu Uingereza ila kwa sasa Jamie Richard Vardy ndio anaongoza kwa kuwa namba moja.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement
Post a Comment