[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Pope francis kuwasihi wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kumaliza tofauti zao za kidini
Papa
Francis Francis kisses a child as he visits the refugee camp of Saint
Sauveur in the capital Bangui,
Papa Francis ametoa wito wa umoja na maridhiano huko Jamhuri ya
Afrika ya Kati na kuwataka wananchi kutoruhusu tofauti za kidini
kuwagawanya, anapokamilisha ziara yake ya kwanza Afrika.
Hii ni mara ya kwanza katika historia kwa kiongozi wa kanisa la
Katholiki katika nchi inayokumbwa na ghasia, ziara ianyofanyika chini ya
ulinzi mkali wa majeshi ya kimataifa.
Katika hotuba aliyotoa ikulu ya Bangui, Papa Francis amesema, ana
matumiani uchaguzi wa mapema mwanaki utairuhusu nchi hiyo kuanza ukurasa
mpya msafi katika historia yake.
Kabla ya kuwasili kwake kaimu Rais Catherine Samba-Panza, aliwambia
wananchi siku ya Jumamosi kuchukulia ziara ya Papa Francis kua ni ujumbe
wa Amani.
Anasema wananchi wengi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wana matumiani
ujumbe atakayoutoa utaleta hisia ya kuwapa watu hamasa ya kujifunza
namna ya kukubaliana na kuweka kando tofauti zao na kuishi tena kwa
pamoja na kuendelea mbele kwa Amani.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Sunday, November 29, 2015
Post a Comment