HAYA HAPA MAJINA YA WANAVYUO 7904 WALIOFANIKIWA KUPATA MIKOPO KATIKA AWAMU YA KWANZA YA UTOAJI WA MIKOPO TOKABODI YA MIKOPO MWAKA HUU
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu wametangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo 2016/2017 awamu ya kwanza.
Kumbuka format ya form 4 no. ni s0001.0001.0001 na sio s0001/0001/0001
Link hii hapa http://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/olas/AllocationFreshers
Chini limeambatanishwa FILE la Orodha ya Waliopata Mkopo 2016/17
Chini limeambatanishwa FILE la Orodha ya Waliopata Mkopo 2016/17
Post a Comment