TAZAMA DIAMOND PLATNUMS AMWAGA SIRI YOTE, AKUBALI KUZAA NA MOBETO
Leo imekua siku nyingine tofauti baada ya msanii Diamond Platinums kuumwaga ukweli wote kwa kukiri na kuomba radhi hadharani kwa yeye kuwa katika mahusiano na kisura wa video za muziki ikiwa ile ya Salome na kukubali kwamba mtoto aliyezaliwa ni wakwake.
Pia
Diamond amemtupia lawama nyingi bibie huyo kwa kumgombanisha na kimdhalilisha yeye pamoja na familia yake licha ya matunzo na makubaliano yote walokua wamefikia

Post a Comment