Loading...
Advertisement

AJALI MBILI ZA NDEGE NDANI YA WIKI MOJA

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement

AJALI MBILI ZA NDEGE NDANI YA WIKI MOJA

Kufuatia uwepo wa hali mbaya ya hewa ni rai yangu kama mhariri kutahadharisha na kukumbusha mamlaka husika kuwa na tahadhari juu ya  hilo haswa pale wanapo andaa safari za ndege kwani tangu mwanzo mwa juma, mpaka kufikia mwisho mwa wiki iliyoisha kumeripotiwa ajali mbili za ndege jambo ambalo huwa ni nadra sana kutokea.

Nahili ndio limesababisha mimi kuchukua nafasi hii kuwaeleza nakuhimiza juu ya hilo kwani;;ndani ya siku ya jumatano ya tarehe 12April mwaka huu kuliripotiwa ajali ya ndege ya kijeshi ambayo inasemekana mbaya sana kuwahi kutokea barani Africa ambapo watu 256 walifariki. 
CHANZO CHA AJALI

Chanzo cha ajali chahisiwa kuwa halimbaya ya hewa ambapo imeonekana kulikuwa na umwagwaji mafuta kutoka katika ndege hiyo ilipokuwa angani nabaadae kuanguka katika eneo la Boufarik airbase 20miles kutoka kwenye mjikuu wa Algeria.

Lakini tena jumapili ya wiki hiyohiyo tarehe15 April ikaripotiwa  ajali nyingine ya ndege binafsi ya kukodi katika mji wa Madina ambapo



ilishindwa kueleweka  idadi ya watu katika ndege hiyo kufuatia ndegehiyo kulipuka na kuungua na kutekea kabisa baadaya kudondoka chini


Hivyo nikirudi hapa nchini mamlaka husika zifanye ukaguzi wa kuridhisha na uchunguzi juu ya haliya hewa kabla ya kuruhusu ndege zetu kufanya safari hasa katikamsimu huu wenye halinbaya ya hewa.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top