Loading...
Home »
Unlabelled »
BINTI WA MUGABE KUMKINGIA KIFUA BABA YAKE
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement

BONA MUGABE CHIKORE huyu ndie bintiwe rais Robert Mugabe aliyeteliwa na kupatiwa wadhifa wa usimamizi wa bodi ya udhibibiti wa vyombo vya habari ,na filamu nchini humo ambapo wengi miongoni mwa wadau mbalimbali wanaitaja hatua hiyo kama njia mojawapo ya kiongozi wa nchi hiyo kujikinga na ueneaji wa taarifa mbalimbali zilizo hasi dhidi yake au familia yake


Kwani uteuzi huo umefanyika muda mfupi tu baada ya kuenea kwa picha mbalimbali katitka mitandao ya kijamii nchini humo zikionyesha kiomgozi huyo wa nchi kuonekana kusinzia katika vikao na mikutano mbalimbali jambo alolikanusha akisema yeye hufumba macho yake ili kuyapumzisha.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, June 5, 2017
Post a Comment