WAKINADADA NA WANAWAKE MNAPASWA KUJUA HAYA KABLA YA KUPIGA NA KUCHUKUA PICHA NA VIDEO ZA UTUPU
Nadhani hakuna asiyefahamu juu ya kinachowakabili wasanii wetu wazuri wa muziki wa kizazi kipya Billnass pamoja na mwanadada nandi. Dhahiri ni kweli nijambo la kusikitisha lakini hawapaswi kubeba mzigo wote huo peke yao.
Kwanza ni waonye wasanii haswa wakike kuhusu hili swala la video na picha za chumbani kwamba wanapaswa kuacha na kukataa kabisa kufanya hivyo kwani kwa kupenda au pasipo kupenda video hizo huvuja tu na matokeo yake mara nyingi hubaki kuwa maumivu kwa wasanii wakike.
Kwa mfano baada ya kuvuja kwa mkanda mfupi wa ngono wa mastar ambao ni wakubwa kabisa ulimwenguni
Kanye West na Kim Kardashian aliyezungumziwa na kupata kijeli alikua ni Kim wala si mumewe.
Vivyo hivyo kwa mwanadada Amber Lulu na Young Dee kwa hapa nchini wakiwa kama mfano wa wengi.
Nakumbuka Mwanadada Amber alikabiliwa nashutuma kali kuliko Young Dee ingawaje Young Dee alitoa maelezo ya hovyohovyo tu lakini alieleweka kwa urahisi kuliko Amber Lulu.
Baada ya kuvuja picha na video kama hizo mwana mke ndio hulaumiwa kwakuwa yeye ndio mtu pekee anayeweza kuhimili mihemuko kuliko mwanaume hivyo huweza kuwa na utambuzi wa mipaka dhidi ya anachokifanya.
Pili ni kwamba katika mahusiano mwanamke ananguvu kubwa sana ya ushawishi tofauti kwa mwanaume hivyo kwa kutumia nguvu hiyo mwana mke ndio anapaswa kutengeneza mazingira ya nini cha kufanya na nn cha kutokufanya.
Kingine ikumbukwe kwamba kumbukumbu katika mitando huwa hazifutiki vipi mwanamke mwanao anaposhuhudia ukiwa katika hali chafu ujue hata rafiki zao watakuwa wakitumia jina la mama yao kuwatania jambo ambalo halitaishia kuku nyima raha wewe mwenyewe bali hata furaha ya kizazi chako. Na mwisho ni kwamba kulingana na thamani aliyonayo mwanamke katika jamii hupaswa kujihifadhi sana tofauti na mwanaume, kwani mwanaume mmoja anaweza kusababisha kushusha hadhi na thamani yako kwa jamii nzima kwasababu inapovuja picha au video ya namna hiyo anaeangaliwa na kuvuta tafakari ya wengi ni mwanamke PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement
1 comments:
Kwa lolote tuandikie hapa katika coments
ReplyPost a Comment